kama unataka kufanya biashara sehemu hiki ni moja ya vigezo vya kuzingatia.
10.zanzibar watu 223,033.
9.Tabora watu 226,999.
8.Kahama watu 242,208.
7.Tanga watu 273,332.
6.Morogoro watu 315,866.
5.Mbeya watu 385,279.
4.Dodoma watu 410,956
3.Arusha watu 416,442.
2. Mwanza watu 706,543.
1.Dar es salaam watu 4,364,541
No comments