News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » » » » Hii ndiyo Kazi Mtoto wa Obama anayoipenda Kuifanya



Mtoto wa kwanza wa rais wa Marekani Malia Obama ’17’ ameanza harakati zake za kutaka kuwa mwigizaji na muongozaji a filamu.
Malia ameonekana huko Brooklyn na kundi la watayarishaji na waigizaji wa “Girls” hivi karibuni huku mashabiki wakifahamishwa kuwa hatacheza kwenye filamu hii ila ndio anajifunza mambo hayo.
Malia alionyesha kupenda kuwa mwigizaji na hata kuonekana kwenye tamthilia ya Halle Berry “Extant.”

Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu