News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » » » » Tuzo Za KTMA jana Usiku, Ali Kiba afunika,Atwaa tuzo tano: Orodha ya wasindi wote iko hapa




1.Kikundi bora cha mwaka bongo flava-yamoto band
2.kikundi bora cha mwaka taarabu-jahazi modern taarab
3.band bora ya mwaka-fm academia
4.wimbo bora wa kushirikishana-FA Ft kiba
5.msanii chipukizi anaeibukia-baraka da prince
6.wimbo bora wenye vionjo vya kitanzania-mjomba
7.wimbo wa zouk-diamond
8.wimbo bora wa afro pop-alikiiba
9.video bora-diamond
10.mtayalishajii bora band-amoroso
11.mtayarishaji bora taarabu-Enrico 
12.mtayarishaji bora bongo flava-nahreel
13.mtunzi bora wa mwaka hip hop-joh Makini
14.mtunzi bora wa mwaka band-josee Mara
15.mtunzo bora bongo flava-alikiba
16.mtunzi bora Taarab-mzee Yusuf
17.wimbo wa Africa mashariki-sauti soul
18.msanii bora hip hop-joh makini
19.rapa bora wa mwaka band-Ferguson
20.ragge-Maua Sama
21.wimbo bora wa hip hop-professor j
22.wimbo wa RnB-juz
23.wimbo bora wa kiswahili band-walewale vijana ngwasuma
24.wimbo bora wa mwaka-mwana alikiba
25.wimbo bora wa taarab-mapenzi hayana dhamana(isha mashauzi)
26.mwimbaji bora wa kiume band-josee Mara
27.mwimbaji bora wa kike taarab-Isha mashauzi
28.mwimbaji bora wa kiume taarab-mzee Yusuf
29.mwimbaji bora wa kike bongo flava-vanesa mzee
30.mwimbaji bora wa kiume bongo flava-alikiba
31.mtumbuizaji bora wa kike-vanesa mzee
32.mtumbuizaji bora wa mziki wa mwaka-alikiba


Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu