Tanzania imezidi kufanya vibaya baada ya kufungwa tena na timu ya taifa ya Uganda (uganda the crens) kwa kuifunga Taifa Stars ya Tanzania Magoli 3 kwa 0. Uganda walipata bao la kwanza kupitia mshambuliaji wao anayekipiga katika club ya Sport club Vila na kuifanya Taifa Stars kuwa nyuma kwa kipindi cha kwanza hadi mapumziko.
Kocha wa crens alifanya mabadiliko kipindi cha pili baada ya kuingiza washambuliaji Yasser Mugerwa aliyechukua nafasi ya John Ssemazi, Frank Kalanda kuchukua nafasi ya Kezironi Kizito baada ya mabadiliko hayo Uganda walipata magoli mawili zaidi kupitia kwa Erisa Ssekisambu.
Taifa stars walipata nafasi nyingi na walishinwdwa kuzitumia kama nafasi aliyoipata Frank Domayo ambaye alikosa goli la wazi akiwa umbali wa mt10.
Tanzania itasafiri baada ya majuma mawili kwenda kurudiana na uganda ugenini ambapo mshindi atacheza na Sudani ili ku Qualify.
Uganda Line Up:
James Alitho -GK [01], Dennis Okoth [02], Brian Ochwo [03], Hassan Waswa [16], Shafiq Bakaki [14], Derick Tekkwo [08], Muzamil Mutyaba [11], Erisa Sekisambu [17], Farouk Miya [10], John Semazi [07], Robert Sentongo [09]. Substitututes: Brian Bwete-GK [18], Deus Bukenya [12], Keziron Kizito [15], Yasser Mugerwa [15], Martin Kizza [13], Frank Kalanda [05], Fahad Muhammed [04]
Tanzania Line up:
01-Deogratius Munishi-GK, 13-Nadir Haroub Ali, 02-Shomali Kapombe, 04-Edward Erasto, 05-Salim Mbonde, 17-Jonasi Mukude, 06-Abdi Hassan Banda, 16-Frank Domayo, 09-Amir Kyemba, 10-Kevin Friday, 12-Simon Musuva. Substitutes: 18 Ali Mwadini, 15 Hassan Isihaka, 07 Hajji Mwinyi, 08 Said Juma, 03 Hassan Dirunga, 11 Rashid Mandawa, 14 John Bocco
No comments