Ajali mbaya imetokea usiku wa Kuamkia leo mbele ya eneo la King'ori Mwanga mkoani Kilimanjaro (Haijafahamika mara moja kuwa kuna majeruhi wa ngapi/vifo).
Inadaiwa kuwa dereva wa gari alikuwa na mpenzi wake na walikuwa wanaendelea na mambo yao hadi dereva akajisahau na kugonga jiwe lililokuwa pembezoni mwa barabara na gari kupinduka kama linavyoonekana kwenye picha.
Chanzo JF

No comments