News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » » Wimbo Ulioimbwa Na Wasanii 50 Kutoka Tanzania Kuhusu Muungano.


Huu ni wimbo maalum wa muungano ulioimbwa na wasanii wa Tanzania 50 kutoka makundi na auna tofauti ya muziki. Wimbo huu unaitwa Tuulinde umetayarishwa na maproducer wawili Ema the boy na Tuddy Thomas kutoka Soround Sound Studio iliyopo Tht.
Sababu ya mchanganyiko wa wasanii kwenye wimbo, mahadhi tofauti tofauti ya muziki wa hapa Tanzania yamehusishwa, Bongo Flava, Taarab, Dansi, Hiphop na muziki wa injili vyote vipo.
Haya majina ya wasanii walioimba kwenye wimbo huu.
Miongoni mwa wasanii ambao utazisikia sauti zao ni pamoja na Kadjanito,Mwasiti,Linah,Christina Shusho,Khadija Kopa,Frola Mbasha,Ommy Dimpoz,Diamond,Josse Mara,Kalala Jr,Ali Kiba,Peter Msechu,Mrisho Mpoto,Abdul Kiba,Mzee Yusuph,Angel,Mwana Fa,Nikki Wa pili,G Nako,God Zilla,Madee,Asley,Shaa,Mandojo,Domokaya,Shilole na Roma Mkatoliki.



Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu