Umekuwa mwanzo mzuri katika usimamizi wa klabu ya Man Utd chini ya Kocha Mchezaji Ryan Giggs baada ya kupata matokeo mazuri dhidi ya Nowrich City. Man imeshinda kwa bao 4-0 huku mabao ya Man yakifungwa na Wayne Rooney na Juan Mata .
Giggs mwenye muda mrefu uwanjani kama mchezaji wa Man Untd alipewa kazi ya kuwa Kocha mkuu baada ya kocha David Moyes kufukuzwa kazi jumanne ya wiki hii.
No comments