News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » VIDEO.HUU NI UWEZO WA BINADAM KILA MTU ANAO TATIZO NIKUTOKUFANYIA MAZOEZI



Mara nyingi watu tumekuwa tuna uwezo wa kufanya jambo flani lakini kutokana na kutokuwa wa thubutu huwa wengi wamebakia kuwa watazamaji tu na wengine mpaka kuhisi kuwa wenye huo uwezo wakufanya hilo jambo pengine wanatumia nguvu tofauti na sisi tunazotumia ila jibu ni hapana kila mtu anaweza tatizo linakuwa na kutikuwa na uthubutu wa kulifanya hilo jambo. Hivyo hivyo pia kwenye maisha watu wamekuwa wakishindwa kutumia fursa wanayoiona mbele yao na kuhofia kukwama au kushindwa na ndo mana wanakuwa wanashindwa kuwa na maendeleo na kuwasema wale walioko juu kuwa pengine wanatumia nguvu hata za giza lakini yote ni kukosa UTHUBUTU. Jaribu kufanya kile wanacho kiogopa wenzako kukifanya ilihali si haramu na Utafanikiwa. Hapa nimekuwekea video za watu wakifanya vitu ambavyo kwa binadamu wa kawaida ni vigumu kuamini ila ni kweli na inawezekana. Makenda N4T







Like page yetu hapa ili usipitwe na habari kama Hizi
Like ukurasa wetu facebook News4time

Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu