News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » Basi la Smart likitoka Dar kwenda Mombasa lapata ajali na kuua wawili!



Bus la Smart limepata ajali na kupinduka likiwa linatokea Dar kuelekea mombasa mpaka sasa idadi ya waliokufa ni wawili na wengine 10 Kujeruhiwa. Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba - Barabara Kuu ya Chalinze-Segera asubuhi ya leo.




Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu