News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » SIMU YENYE UWEZO WA KUTUMA HARUFU YA MANUKATO INAKUJA



Kila siku technology ina-grow kwa kasi kubwa hapa duniani kila siku vitu vipya vina zinduliwa na kuunganisha kwa njia za mitando yote.



Technology kwa sasa inazidi kupamba moto na watu wanafanya kila kinachowezekana hapa ulimwenguni ili binadamu aweze kurahisisha mambo.

Right now wataalamu wamegundua njia ingine kupitia simu ya oPhone amabayo mtu unaweza kutuma harufu ikiwa imefungwa katika tube ndani ya simu na kuweza kumtumia mtu mwingine.
Dr.David Edward,biomedical engineer wa founder of Le Laboratory ndiye mtaalamu wa programu hiyo ya kutengeza radical sensory devices ni calorie –free chocolate spray.
Na kila mwanadamu ni smell sensors Edwards akielezea simu hiyo inatarijia kutoka july mwaka huu, ndiyo inakuwa simu ya kwanza kutengenezwa ikiwa ina smell messaging.
Simu hiyo inatengezwa kwa muungano wa kampuni ya Paris parfumer Givaudan na Baristas Cafe’Countume na Dr.Edwards ametengeneza menu ya simu.




Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu