News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » » Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)



Adam Kimbisa, Sophia Simba na Emmanuel Nchimbi ambao ni wajumbe wa kamati kuu wamepinga uamuzi wa kamati kuu ya CCM kwa kusema kuwa wao hawapo pamoja na uamuzi wa kamati hiyo utakaosomwa leo baadaye na katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.

Source: Uhuru fm radio

Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu