Mtu mmoja amekamatwa mkoani dodoma na maburungutu ya fedha hotelini, inasemekana alikuwa na lengo la kuwahonga wajumbe wampitishe mmoja wa gombea uteuzi
Hapa St. Gasper Hotel ambapo ilikuwa ni kambi ya Edward Lowassa sasa hivi zimekamatwa fedha zinazodaiwa kuandaliwa kugawiwa kwa wajumbe wa NEC.

Aliyekamatwa kageuka, anasema katumwa na Membe
Chanzo JF
No comments