News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » » » DAVIDO AZINDUA MRADI WA NGUO


Lagos, Nigeria

MWIMBAJI Davido wa Nigeria amezindua mradi wa kuuza nguo ili kushindana na wauza nguo wengine nchini humo. Mwanamuziki huyo ameungana na makundi mengine ya wasanii na waendesha burudani ambao wamejikita katika mauzo ya nguo ili kuongeza vipato vyao mbali na muziki.
Moja ya aina ya nguo aliyozindua Davido.

Aina ya nguo alizozindua ni T-shirts ambazo amezipa jina la O.B.O.T.  Hii ni katika kutekeleza mafanikio yake ambayo ni pamoja na kuhitimu chuoni, kupata mtoto na kuzidi kujiimarisha katika muziki.





Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu