Siku ya Jumamosi Mei 3 itakuwa kilele cha tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 kwa kuwatuza wasanii, vikundi, watunzi na wandaaji muziki waliofanya vizuri mwaka 2013. Haya ni maandalizi ya mwisho katika ukumbi wa Mlimani City.
Sound check ya Live Band |
Mazoezi ya namna ya kulitawala jukwaa |
Muonekano wa Ukumbi |
Eneo litakalotumika kama Social Media Lounge |
No comments