News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » » Kama ulimis Kutazama mechi ya jana kati ya Chelsea vs Atletico Madrid nimekuwekea hapa Video ya magoli yote.

















Ni game ambayo Chelsea ndio walitangulia kupata goli la kwanza kupitia kwa Torres kwenye dakika ya 36 lakini likalipwa na Adrian Lopez kwenye dakika ya 44 kisha Costa akaongeza jingine kwenye dakika ya 60 kwa njia ya penati alafu goli la mwisho likafungwa na Turan kwenye dakika ya 72 hivyo game kuwa Chelsea 1- Atletico Madrid 3.


Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu