Kampuni Lix ya uingereza imegundua kalamu ya 3D inayoweza kutumika hata bila ya kutumia karatasi. Kalamu hiyo ina ukubwa na saiz kama ya kalamu za kawaida lakini utofauti wake ni kuwa unaweza kui plug kwa kutumia Usb cable kwenye Laptop au Tablet yoyote ile na kuprint kitu unachokitaka. Baada ya hapo unaweza kuweka strip ya plastik kwenye kalam hiyo na kuchora hata kwenye hewa,Strip ya plastiki huwekwa ndani ya kalam hiyo na kuna batan maalum inayotumika kui sukuma nje kwa ajili ya ku chora na inatoka kama wino.Kifaa(kalamu)hiyo itauzwa kuanzia mwezi september 2014 na itakuwa ikipatikana kwa bei ya £85 ($139.95) kwa hela ya bongo itakuwa kama Tsh. 224,595 tu.
Maelezo mengine bofya hapa





Video iko hapo chini
No comments