News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » VIDEO: CHEKA KIDOGO NA HII VIDEO


Kumekuwa na vitu ambavyo vinaweza kuifanya siku yako kuwa nzuri na pia vingine vikaifanya siku kutokuwa nzuri. Kunawanyama ambao ni rafiki sana wa binadamu hii ni sababu ya mtu kuamua kumfuga kwa ajili ya ulinzi kwa wa dudu waharibifu kama panya ama wengine huwafuga kama Urembo au pambo la nyumba yao. Pamoja na paka kuwa na vitu hivyo pia kwa upande mwingine paka anaweza kukufanya hata kama ulikuwa na hasira au Msongo wa mawazo kutokana na maisha yakila siku na akabadilisha hali yako na ukawa mwenye furaha na kusahau yaliyopita. Nazani hii ndo sababu kubwa ya paka kuwa Rafiki mkubwa kwa binadam kwa upande wa wawanyama. Hapo chini nimekuwekea video ambayo lazima Utabasam na kushau Matatizo yako. 



Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu