News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » » Sikiliza Na kupakua Hapa wimbo mpya Wa Pr.Jay Ft. Diamond-Kipi sijakisikia


Baada Ya ukimya Mrefu Mkali wa Miondoko ya Hiphop Ambaye kwa sasa Amepata mafanikio makubwa kupitia Muziki wa kizazi kipya ikiwa ni pamoja na kumiliki Studio yake mwenyewe inayojulikana kwa jina la Mwanalizombe studio Pr. Jana Ameachia Wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kipi sijakisikia Akiwa amemshirikisha Diamond.
Click Play Hapo chini kusikiliza.







Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu