
Haya ndio maneno aliyo yasema Kala Jeremia baada ya jana kuutambulisha wimbo wa walewale Remix aliouachia hiyo jana ''bAADA YA KUGUNDUA KUWA #WALEWALE NI WIMBO UNAOPENDWA NA WATU WA AINA ZOTE YANI WATOTO, WATU WAZIMA, WAZEE, MASELA, MABINTI WAZURI, USHUWANI NA USWAHILINI. SASA TUMEKULETEA REMIX YA #WALEWALE ft#JUMANATURE @youngkillermsodoki & @neyleesupawoman AUDIO INAPATIKANA HULKSHARE NA VIDEO INAPATIKANA YOUTUBE PIA UNAWEZA KUSIKILIZA REDIO AU KUTAZAMA TV UIPENDAYO''
No comments