Kampuni ya Samsung inategemea kuzindua miwani yake ya GalaxyGlas september mwaka huu. Galaxy Glass itakuwa ikifanya kazi sawa na smart phone za sumsang ikiwa ni pamoja na kupokea taarifa akiwa ameivaa kutoka kwenye sim kama msg,simu au barua pepe.
Msemaji wa Samsung alikaririrwa akisema ''mahitaji ya Smart(Galaxy)Glas ni makubwa kutokana na maoni ya wateja wetu'' Galaxy Glasy itakuwa ndo mshindani wa kwanza wa Google Glasy ambayo iko sokoni mpaka sasa.
No comments