News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » Matokeo Azam FC vs Ruvu shooting leo April 10 2014




Zimebaki pointi tatu tu Azam FC kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza, hilo halina ubishi.
Azam FC wameshinda mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Mabatini mjini Mlandizi.

 Iwapo Azam FC itaifunga Mbeya City katika mechi yake itakayofuata, Azam ambayo sasa ina pointi 56 itatawazwa rasmi kubwa mabingwa.

Katika mechi ya leo magoli ya Azam FC yalifungwa na mshambuliaji mkongwe, Gaudence Mwaikimba, Himid Mao na Kipre Tchetche







Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu