Haya ni matukio makubwa yaliyofanyika Tarehe kama ya leo...
1- Ndoa ya mwanamfalme Prince William na Kate Middleton
Siku na tarehe kama ya leo ndio tarehe ya ndoa ya Pricnce william mtoto wa mfalme wa uingereza na Kate.
2-Kifo cha Director mkubwa wa filam Alfred Hitchcock
alizaliwa 13th August, 1899 huko Leytonstone, Essex, England
Alifariki 29th April, 1980 (aged 80)
Filamu alizoongoza ni pamoja na he Pleasure Garden,Case Of Jonathan Drew nanyingine nyingi.
Na Rajab Makenda.
No comments