
Habari zinazoambatana na picha hii zinasema ni ujambazi uliofanywa kwa kutumia risasi kutoka kwenye gari moja na kisha kupofa kiasi cha fedha ambacho bado hakijajulikana, kutoka kwenye gari jingine linaloelezwa kuwa lilikuwa na raia wa Kigeni, katika eneo la Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam, jioni ya leo.
wavuti
No comments