Michuano ya Club bingwa Ulaya Jana imeendelea katika viwanja tofauti Ambapo Chelsea ilikuwa ikicheza na Psg ya Ufaransa Ambapo PSG ilishinda Kwa mabao 3-1 mpaka Dk 90 kumalizika vikosi vilikuwa kama nilivyokuwekea hapa chini.
PSG: Sirigu, Jallet, Alex, Thiago Silva, Maxwell, Verratti (Cabaye 76), Thiago Motta, Matuidi, Cavani, Ibrahimovic (Lucas Moura 68), Lavezzi (Pastore 84).
Subs not used: Douchez, Marquinhos, Digne, Rabiot.
Booked: Alex, Thiago Motta, Cavani.
Goals: Lavezzi 4, Luiz 62 og, Pastore 90.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Luiz, Willian, Oscar (Lampard 72), Hazard, Schurrle (Torres 59).
Subs not used: Schwarzer, Mikel, Ba, Ake, Kalas.
Booked: Ramires, Willian, Luiz.
Goal: Hazard 27 pen.
Attendance: 48,000
Video ya Magoli yote iko hapo Chini.
No comments