Hii ni McLaren MP4-12C inayotumika katika patrol za kila siku za Pilice kwa ajili ya usalama Gharama yake inakadiriwa kuwa zaidi ya £170,000.
Na Hadison lymo. N4T.
Hii unaweza usiamini lakini ndio hali halisi kwa wenzetu ni kawaida sana kumkuta police wa Dubai ndani ya Super cars kama Lamborgin,Maclaren,Audit,Aston martin kutokana na serikali yao kuwajali sana watumishi wao hasa katika mambo nyeti kama ulinzi. Hiii nafikiri sio kwa kila nchi inaweza kufanya mambo kama haya ila nikutokana na utajiri pia ulizo nazo nchi za uarabuni. Hii inasababisha hata police wao kuipenda kazi na kuwa wanaomba hata ikiwezekana kila siku wawe zamu...''kwani kuna mtu asiyependa kuendesha gari la kifahari kama lamborgin au Astornmartin'' Jibu kila mtu anatamani ... Hii pia imekuwa ajabu kwani hata kwa raia wa kawaida wamekuwa wakifanya matamakosa madogo ru ilimradi wapate kupakia Lamborgin ya police!!! Hebu zitazame picha hapo chini uone magari ya Police wanayo endesha Dubai..
huka chini kutazama Video

Hii ina kadiriwa kuwa na thamani zaidi ya£1.6million Aston Martin One-77

Ferrari FF, Kulia, na Lamborghini Aventador, upande wa kushoto

Bentley Continental

Lamborghini Aventador ina thamani ya £294,665

Mercedes SLS Gullwing

Je? Kwa tanzania inawezekana? na kama wakipewa police wetu Hutatamani hata kuomba lift au hata kufanya kakosa kadogo tu walau upande super car hata maramoja? Maoni yako hapo chini

No comments