Watu 12 wamejeruhiwa baada ya mlipuko wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu, kutokea katika bar ya Arusha night park, walipokuwa wakiangalia mpira usiku huu. Uchunguzi unaendelea
Endelea kutembelea news4timeblog.com tutawajuza taarifa zaidi kuhusu kinachoendelea Tuko eneo la tukio.
No comments