
Arsenal yatinga fainali ya Kombe la FA kwa kuichapa Wigan 4-2 kwa mikwaju ya penati. Dakika 90 za mwanzo ziliisha kwa magoli 1-1 ambapo wigan ndio walitangulia kufunga kwa penalt na kipindi cha pili Arsenal walisawazisha. Ziliongezwa dakika 30 ambapo hakuna timu iliyopata goli hadi zina isha.
No comments