News

Music

Makala

Sokkaa

Video

» » » Alicho kisema Neymar Baada ya Dani alves kurushiwa ndizi Uwanjani na mashabiki wa Villarreal siku ya Jumapili


''Sisi sote Ni Nyani'' Neymar Jr.

Mshambulizi mashuhuri Neymar aliahidi kupiga vita ubaguzi wa rangi baada mwenzake Dani Alves kurushiwa ndizi kutoka katika majukwaa na matazamio ya uwanja waliposhinda magoli 3-2 dhidi ya Villarreal siku ya Jumapili, alitumia mitandao tandawazi kupiga vita ufisadi huo.
“Sisi sote tuko sawa, sote tuko nyani, sema hapana kwa ubaguzi,” aliandika katika tovuti yake.
“Ni aibu kuwa kuna kuchi bila sababu za aina hii mnamo 2014. Ni wakati mwafaka kwa watu kupandisha sauti zao. Mbinu yangu ya kutoa msada ni kufanya vile Dani Alves alivyofanya.”
Kama unafikiri hivyo pia, chukua picha yako mwenyewe ukila ndizi na tutatumia wanavyo dhidi yetu kwa nafu yetu.
Na Alves, aliyesababisha magoli mawili kuingia na alisema kuwa ndizi ile imemsaidia kumwongezea nguvu alizokuwa akihitaji.
“Sijui alikuwa nani, lakini shukrani kwa yeyote aliyerusha ndizi, potasiamu ilinipa nguvu zilizosababisha magoli,” Alves aliambia waandishi wa habari baada ya mechi.
“Nilikuwa katika Hispania kwa miaka 11, na kwa miaka 11 nimecheka kwa upumbavu huu,” aliongeza.



Mwananchi Kweli

Tunakushukuru kwa kuendelea kusoma habari zetu tunakuomba kama unapatwa na tatizo lolote hapa kwenye tovuti yetu una maoni,Habari na ushauri usisite kutuandikia kwenye info@news4timeblog.com kisha tutakujibu haraka iwezekanavyo.Hasante.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply

Select Menu